Sitakaa Nisahau Nilipoenda Kanisa La Walokole

*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama" mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwaiyo ulipozinduka ulitoa iyo pesa ama ulizimia mazima ukafaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Acha bongo movie za kuzimia ovyo pumbafu kalipe den
 
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama" mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
'nani mwingine' nilivoelewa mimi ni kuwa wewe ulitoa mil 2 afu kuna mtu mwingne nae atoe mil 2! Je Wewe Ulitoa Hyo Mil 2?????
 
Lipa kwa awamu mkuu,hiyo ni nadhiri!

Ni sawa na mtu aliyekula hela ya mgombea alafu akaahidi kumpigia kura na mwisho hakumpigia,lazma aisome namba
 
kuna jamaa anapita mtaani kashusha vioo vya gari afu ndani yupo na heineken kibao anakunywa.kaweka wimbo "MBELE KWA MBELEEE!" Afu anapita kila kwenye ofisi za kijani na njano! anaongeza sauti "TUMEIPENDA WENYEWE"
 
Back
Top Bottom