The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama" mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kwaiyo ulipozinduka ulitoa iyo pesa ama ulizimia mazima ukafaa
'nani mwingine' nilivoelewa mimi ni kuwa wewe ulitoa mil 2 afu kuna mtu mwingne nae atoe mil 2! Je Wewe Ulitoa Hyo Mil 2?????*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama" mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
kuna jamaa anapita mtaani kashusha vioo vya gari afu ndani yupo na heineken kibao anakunywa.kaweka wimbo "MBELE KWA MBELEEE!" Afu anapita kila kwenye ofisi za kijani na njano! anaongeza sauti "TUMEIPENDA WENYEWE"Lipa kwa awamu mkuu,hiyo ni nadhiri!
Ni sawa na mtu aliyekula hela ya mgombea alafu akaahidi kumpigia kura na mwisho hakumpigia,lazma aisome namba
Mpaka leoKla nkizinduka nazimiaa teena
Kweli kanisa alieshimiki ani unadiriki kuzimia sehemu yenye upako na mwenyezi mungu yuko apo kwa asilimia kubwa na unashindwa kumtolea sadakaKla nkizinduka nazimiaa teena