Sitaki affiliation yoyote na AZAM FC, ushabiki nimeacha na jezi nimechoma

Kipindi Cha Stewart Hall Azam ilikuwa Azam kweli. Ila kwa sasa naona wanafanya maigizo ya mpira. Ile timu ukiibadilishia jina la timu na uongozi inacheza CAF hatua za mtoano.
Wameboa kinoma
 
nilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc,

2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa.

3. sitaki kuhusishwa na chochote cha azam fc. chochote, nipo close na watu wa ndani ya azam fc. group nimetoka, sitaki kusikia hata mechi azam fc

4. kama kuna mtu niligombana nae kisa mpira au azam fc, am sorry. hii timu ni ya wajinga tu.

5, ukiwa shabiki wa azam fc automatically ni mjinga, matokeo yao wanapanga ghettoni wewe unashabikia huku, timu ipo kuuza unga na ukwaju. wew shabiki tafuta timu ushabikie.
hata nikilipwa siwezi tena shabikia azam fc,

6. sina tena heshima na azam fc, ni useless club, hata wafanye vipi, ni club ya kupuuzwa, siji tena kulipia derby ya azam fc na timu za kariakoo.

AZAM FC NI TIMU YA KUPUUZWA.
Tatizo lako unajisahau sana wewe tokea lini ukawa Azam.
Screenshot_20240919_082604_Chrome.jpg
 
nilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc,

2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa.

3. sitaki kuhusishwa na chochote cha azam fc. chochote, nipo close na watu wa ndani ya azam fc. group nimetoka, sitaki kusikia hata mechi azam fc

4. kama kuna mtu niligombana nae kisa mpira au azam fc, am sorry. hii timu ni ya wajinga tu.

5, ukiwa shabiki wa azam fc automatically ni mjinga, matokeo yao wanapanga ghettoni wewe unashabikia huku, timu ipo kuuza unga na ukwaju. wew shabiki tafuta timu ushabikie.
hata nikilipwa siwezi tena shabikia azam fc,

6. sina tena heshima na azam fc, ni useless club, hata wafanye vipi, ni club ya kupuuzwa, siji tena kulipia derby ya azam fc na timu za kariakoo.

AZAM FC NI TIMU YA KUPUUZWA.
We fukara mmoja huna msaada wowote kwa Azam
 
Mkuu Danielmwasi ukihama Azam unataka uende wapi sasa? Simba? Au yanga?

Sisi hatuna team pinzani mkuu unakoelekea utaumia zaidi
 
Back
Top Bottom