Sitaki affiliation yoyote na AZAM FC, ushabiki nimeacha na jezi nimechoma

Kipindi Cha Stewart Hall Azam ilikuwa Azam kweli. Ila kwa sasa naona wanafanya maigizo ya mpira. Ile timu ukiibadilishia jina la timu na uongozi inacheza CAF hatua za mtoano.
Wameboa kinoma
 
Tatizo lako unajisahau sana wewe tokea lini ukawa Azam.
 
We fukara mmoja huna msaada wowote kwa Azam
 
Mkuu Danielmwasi ukihama Azam unataka uende wapi sasa? Simba? Au yanga?

Sisi hatuna team pinzani mkuu unakoelekea utaumia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…