Sitaki ajira tena

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Salamu Wakuu
Hongereni kwa kuona mwaka mwingine tena

Kama kichwa kinavyojieleza hapo

Mimi ni mwanafunzi wa A level mkoani arusha kijana mdogo kabisa mawazo yangu yote niliaminishwa ajira yenye heshima na mshahara Mzuri ni udaktari hivyo nilisoma tokea shule ya msingi mpaka Kidato cha nne nikiwaza kuwa daktari sio kwamba nilipenda ila mshahara tuu

Leo nimeamua kurudi kwenye ndoto zangu za Ujasiriamali na Umri wangu huu wa miaka 18 udaktari nawaachia wenye wito huo na malengo hayo mimi naanza ufugaji wa mifugo kuanzia leo na haka kamtaji kangu 500k

NB
Sitaacha kusoma PCB kwa moyo nategemea 2020 nikimaliza Kidato cha sita niwe najitegemea nisile kwa Baba tena nikiwa na miaka 20

Maombi yenu Wakuu na mitazamo yenu

MUHIMU
Nimeacha forex kuanzia leo naishukuru kwa kidogo ilichonipa sasa nitafanya Ujasiriamali (unaogusa jamii)

Salute again


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera kwa uamuzi wako, ila subiri wazee Wa forex wakukalishe fasta na msemo wao (forex not for every one)
 
Reactions: rr4
Ujasiria mali ni muhimu sana ila unataka commitment ya hali ya juu sana. Hongera sana ila ukiwa daktari c mbaya kwani unaisaidia jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uamuzi mzuri kuwa huru na maisha enjoy ..food,sex, travel anywhere at anytime...wear anything u want...this is life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…