Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 777
So,hili ni andiko la wateule????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So,hili ni andiko la wateule????
Usitamani kuijua iyo forexSo,hili ni andiko la wateule????
Ushauri Mujarabu sana huuPoa , ila itabidi ujifunze kidogo kuhusu ulimwengu wa roho . Unaweza ukashikwa shati pasipo kujua . Kupiga kipepsi ni muhimu ili usonge mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mawazo butu hapa anaongelea after kumaliza shule mkuu.iyo food sex n travel kwa sec. School boy????ok!!
Hakika mkuu nishawaza sana hiliUkimaliza form 6 kasomee udaktari wa mifugo.
Diploma inatosha sana kwa ujasiriamali unaotaka kufanya, itakusaidia.
Two choicesSasa kama umeshafanya maamuzi humu umekuja kutuletea nini?
Fanya unaloona linakufaa.
Kwambali nahisi harufu ya kunadi biashara fulani kwenye huu uzi
Salamu Wakuu
Hongereni kwa kuona mwaka mwingine tena
Kama kichwa kinavyojieleza hapo
Mimi ni mwanafunzi wa A level mkoani arusha kijana mdogo kabisa mawazo yangu yote niliaminishwa ajira yenye heshima na mshahara Mzuri ni udaktari hivyo nilisoma tokea shule ya msingi mpaka Kidato cha nne nikiwaza kuwa daktari sio kwamba nilipenda ila mshahara tuu
Leo nimeamua kurudi kwenye ndoto zangu za Ujasiriamali na Umri wangu huu wa miaka 18 udaktari nawaachia wenye wito huo na malengo hayo mimi naanza ufugaji wa mifugo kuanzia leo na haka kamtaji kangu 500k
NB
Sitaacha kusoma PCB kwa moyo nategemea 2020 nikimaliza Kidato cha sita niwe najitegemea nisile kwa Baba tena nikiwa na miaka 20
Maombi yenu Wakuu na mitazamo yenu
MUHIMU
Nimeacha forex kuanzia leo naishukuru kwa kidogo ilichonipa sasa nitafanya Ujasiriamali (unaogusa jamii)
Salute again
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapenda kuifanya wala sina moyo wa kuifanya na elimu ya forex sina kama inavyotakiwaKwa nini umeacha forex?
Inawezekana mkuuHv haiwezekan kabsa kua Daktari na pia ukawa mjasiriamali at the same time?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu zipi zimekufanya uache forexSalamu Wakuu