Sitaki ajira tena

Sitaki ajira tena

Poa , ila itabidi ujifunze kidogo kuhusu ulimwengu wa roho . Unaweza ukashikwa shati pasipo kujua . Kupiga kipepsi ni muhimu ili usonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama umeshafanya maamuzi humu umekuja kutuletea nini?
Fanya unaloona linakufaa.
Kwambali nahisi harufu ya kunadi biashara fulani kwenye huu uzi
 
Kwa nini umeacha forex?
Salamu Wakuu
Hongereni kwa kuona mwaka mwingine tena

Kama kichwa kinavyojieleza hapo

Mimi ni mwanafunzi wa A level mkoani arusha kijana mdogo kabisa mawazo yangu yote niliaminishwa ajira yenye heshima na mshahara Mzuri ni udaktari hivyo nilisoma tokea shule ya msingi mpaka Kidato cha nne nikiwaza kuwa daktari sio kwamba nilipenda ila mshahara tuu

Leo nimeamua kurudi kwenye ndoto zangu za Ujasiriamali na Umri wangu huu wa miaka 18 udaktari nawaachia wenye wito huo na malengo hayo mimi naanza ufugaji wa mifugo kuanzia leo na haka kamtaji kangu 500k

NB
Sitaacha kusoma PCB kwa moyo nategemea 2020 nikimaliza Kidato cha sita niwe najitegemea nisile kwa Baba tena nikiwa na miaka 20

Maombi yenu Wakuu na mitazamo yenu

MUHIMU
Nimeacha forex kuanzia leo naishukuru kwa kidogo ilichonipa sasa nitafanya Ujasiriamali (unaogusa jamii)

Salute again

Sababu zipi zimekufanya uache forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom