Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Sasa chadema itashindaje kama mtu analeta picha kama hii nakusema hapo ni Iringa na Lisu kaifuta ccm Iringa leo hii?

Hivi ni sehemu gani Iringa kuna minazi?

Chadema hii ya Lisu ni aibu tupuView attachment 1568603
Wazee wa photoshop wanatengeneza picha za 2015 na kuja kujazana ujinga nani awape kura CHADEMAmwaka huu ni ndembendembe tu.
 
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.

Kwa nini nasema hivyo?

Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.

Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.

Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.

Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.

Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.

Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.

Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?

Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.

Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.

All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.

Mpuuzi ni wewe na wapindisha haki wote wa Chama Tawala waliorigwa na kuingiwa na laana ya Mwalimu Nyerere ya kukataa kusimamia misingi na malengo ya kuanzishwa kwake.

Mzimu wa Nyerere na Mzimu wa Lissu (mliyemuua Mungu akamfufua) itawatesa mpaka kaburini! Na huko kuzimu mtateseka sana nyie mnaochukia haki na kupenda vya uovu, ukatili, na uuaji.
 
Come fight me 🤜🏿
 
cdm ukiwaskiliza unaweza dhan hakuna mtu mwenye akili hii nchi, wengi wao hawajasoma! mwenyekiti hajasoma kakimbia shule, lema nae ndo usipime, yaani kwa kifupi utaishia kuonekana msukule
 
cdm ukiwaskiliza unaweza dhan hakuna mtu mwenye akili hii nchi, wengi wao hawajasoma! mwenyekiti hajasoma kakimbia shule, lema nae ndo usipime, yaani kwa kifupi utaishia kuonekana msukule
💚💛💚🥂🥁🎤🍸🍾
 
Back
Top Bottom