BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ni igizo tu mkuu sio kupendwa kweli😀😀😀😀😀😀😀Kwani ukiimba wimbo kuwa unapendwa ,ni kweli unapendwa ?
Umeelewa uzi?Hatakuwa wa kwanza. Nakumbuka awamu ya 5 kuna mwingine aliupiga chini u DC
Unafiki ni kitu kibaya Sana.Lakini ndugu yangu kumbuka Jambo moja katika maisha akitokea mtu akawa anaponda Jambo flani kwa nguvu zote jua Hilo Jambo analipenda sana.mfano Mimi ni mzalendo sana jua huyo ni kibaka tu.
Namshauli sasa ivi atunge wimbo unaoita NATAKA KAZI , NIMEPATA KAZI.
Jiwe alikuwa anatangaza teuzi wateule wanazisikia redioni.Ameshasaini consent form sasa atakataaje kwa mfano. Wanaokataa hawasaini na moja kwa moja hawatangazwi
Nani anaweza kukataa UDC wewe? Kazi yenyewe hakuomba kapewa we thubutu.Nikki wa Pili alikuwa akiwaponda sana watu walioajiriwa mpaka akatoa wimbo wa sitaki kazi. Alisema yeye anataka kuajiri na sio kuajiriwa.
Swali, ameteuliwa uDC. Je, atakataa?
Ni wakili yulejamaa nilimkubali sanaHatakuwa wa kwanza. Nakumbuka awamu ya 5 kuna mwingine aliupiga chini u DC