BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Nikki wa Pili alikuwa akiwaponda sana watu walioajiriwa mpaka akatoa wimbo wa sitaki kazi. Alisema yeye anataka kuajiri na sio kuajiriwa.
Swali, ameteuliwa uDC. Je, atakataa?
Swali, ameteuliwa uDC. Je, atakataa?