Uchaguzi 2020 Sitaki kuamini CCM hawakuyaona haya

CCM wanajua sehemu ya kumalizia mchezo. Vuguvugu la 2015 lilikuwa kubwa kuliko hii ya Lissu ila Nchi ilikuja kusinyaa kwa huzuni na simanzi mara tu baada ya Lubuva kutangaza matokeo yake

Todate, ukiwauliza watu kumi ni nani alimpigia kura Magufuli, hawazidi watatu. What happened? Will they do it again kwa kuwa hakuna kilichobadilika as far as muundo wa Tume na sheria zake is concerned?

I hope think-tank ya CHADEMA wana massive plan B kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Kupumbazwa na kushangilia hizi nyomi bila plan na kutegemea kupiga kura tu na kusubiri matokeo nyumbani ni moja ya case ya “keeping doing the same thing and expecting different (better) outcome”
Huu ndio ukweli wenyewe, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, zinahitajika mbinu na mikakati ya Ziada kupambana na figisu na udanganyifu ambao ni dhahiri utatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wengi tulijua CCM mkiti, hatohitaji kupanic, uchaguzi utakuwa mteremko, aisee, ni kinyume, mkiti kapaniki, imebidi warudi Idodomya kujipanga upya.

Kweli ngazi ile uliyopandia ndiyo ile utakayoshukia. Yanayojiri ni kiashiria tosha, watu hawapendi dharau!
Cake ya taifa unakulaje peke yako wewe na familia na jamaa yako tu??

Kodi za watanzania anasema yeye ametoa bilions, as if zinatoka mfukoni kwake!
Hiyo miradi anafikiri kwann wenzake walikuwa wanaiangalia wanaiacha??

Walijua itagharimu, wananchi watakuwa na maisha magumu!

Polepole Bashiru wamepwaya yaani hao wawili ni sawa rHashimu Rungwe mmoja.
Hatujajua mpaka sasa kauli mbiu ni nini??
Tz ya vi-wonder??
Hapa kazi tu??
Pambana na hali yako??

Everyday is Saturday................................ 😎
Ahahaha,itakuwa hiyo ya mwisho
 
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
Hapo ndipo zipo kuwa zimeishia akili za washauri wa Rais. Kwamba Watanzania wata sahau vyama vingine na kuipenda Ccm. Akili matope.
 
Huuzi mpaka kufikia post #24 hapo kila mchangiaji yuko against na sirikali. Kama ni goli basi 24 kwa 0.
 
Magazeti yote ya Leo hayajataja mwenendo wa kampeni za Lissu jana bali wameandika kuhusu Polepole jana. Ukiona Lissu au Zitto au CHADEMA au ACT ni kwamba wanataja dongo alilotoa Polepole kwa mtu au Chama husika.
Uhuru umeminywa kwenye kila nyanja,kwa watu binafsi,magazeti,Radio na tv binafsi na za umma.Huko kote wanamsifia mkuu wa Mashetani.
 
Ila wengi tulijua CCM mkiti, hatohitaji kupanic, uchaguzi utakuwa mteremko, aisee, ni kinyume, mkiti kapaniki, imebidi warudi Idodomya kujipanga upya.

Kweli ngazi ile uliyopandia ndiyo ile utakayoshukia. Yanayojiri ni kiashiria tosha, watu hawapendi dharau!
Cake ya taifa unakulaje peke yako wewe na familia na jamaa yako tu??

Kodi za watanzania anasema yeye ametoa bilions, as if zinatoka mfukoni kwake!
Hiyo miradi anafikiri kwann wenzake walikuwa wanaiangalia wanaiacha??

Walijua itagharimu, wananchi watakuwa na maisha magumu!

Polepole Bashiru wamepwaya yaani hao wawili ni sawa rHashimu Rungwe mmoja.
Hatujajua mpaka sasa kauli mbiu ni nini??
Tz ya vi-wonder??
Hapa kazi tu??
Pambana na hali yako??

Everyday is Saturday................................ 😎
Wadalimu hutembea na laana siku zote naona yamewafika sasa.
 
Magazeti yote ya Leo hayajataja mwenendo wa kampeni za Lissu jana bali wameandika kuhusu Polepole jana. Ukiona Lissu au Zitto au CHADEMA au ACT ni kwamba wanataja dongo alilotoa Polepole kwa mtu au Chama husika.
Hayo magazeti nadhani serikali inayanunua yote.Maana sioni Kama yatakuwa na soko Kama yalivyokuwa kipindi Cha nyumba.Halafu mheshimiwa kapumzika mbona harakati
 
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
Waliyaona na waliyajuwa sana ila TATIZO Mwenyekiti wao anapenda kusikia yale anayoyataka. Na kwa vile wasaidizi wake wanapenda kubakia na nyazifa zao wanamjaza UJINGA tu anaoutaka.
 
Ccm Sasa Hivi Ipo Mafichoni Ikiuguza Majeraha Kama
Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani
Ikirudi Yaani Itakuwa Na Hasira
😂😁😀😅😏😃😃🤣😂😁😁
 
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.

poleni sana maaana hata 18% ya kura hamtafika! tunajua nyie ni shangazi zake lissu kwahio hamna cha muhimu mtaongea,
 
CCM wanajua sehemu ya kumalizia mchezo. Vuguvugu la 2015 lilikuwa kubwa kuliko hii ya Lissu ila Nchi ilikuja kusinyaa kwa huzuni na simanzi mara tu baada ya Lubuva kutangaza matokeo yake

Todate, ukiwauliza watu kumi ni nani alimpigia kura Magufuli, hawazidi watatu. What happened? Will they do it again kwa kuwa hakuna kilichobadilika as far as muundo wa Tume na sheria zake is concerned?

I hope think-tank ya CHADEMA wana massive plan B kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Kupumbazwa na kushangilia hizi nyomi bila plan na kutegemea kupiga kura tu na kusubiri matokeo nyumbani ni moja ya case ya “keeping doing the same thing and expecting different (better) outcome”

kati ya watu nnaowajua wana mkubali lissu ni mmoja tu ambao wako kwenye mizunguko yangu na mtu mwenyewe amesema hapigia kura:

lakini pia,
1601117525622.png

nadhan heshima iwepo sasa
 
Kwamba watu wanapenda UHURU na HAKI kuliko maendeleo! Ndio maana hata mkoloni pamoja na maendeleo aliyoleta alifukuzwa? Sitaki kuamini.
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
 
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
CCM wamepwaya Sana, hawaamini mziki uliopo. Mpaka wanaropoka njia wanazotumia kupiga bao la mkono.Wasimamiz kumbe huwa wanatonywa, CCM wakuona kituo hakielewek watumwa watu wa kazi, mawakala wakizubaa tu, Kuna mawili yanafanyika kuchomekea sanduku lenye kura au kura kuongezwa.
 
Back
Top Bottom