LOCAL SPONSOR
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 386
- 698
Huu ndio ukweli wenyewe, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, zinahitajika mbinu na mikakati ya Ziada kupambana na figisu na udanganyifu ambao ni dhahiri utatokeaCCM wanajua sehemu ya kumalizia mchezo. Vuguvugu la 2015 lilikuwa kubwa kuliko hii ya Lissu ila Nchi ilikuja kusinyaa kwa huzuni na simanzi mara tu baada ya Lubuva kutangaza matokeo yake
Todate, ukiwauliza watu kumi ni nani alimpigia kura Magufuli, hawazidi watatu. What happened? Will they do it again kwa kuwa hakuna kilichobadilika as far as muundo wa Tume na sheria zake is concerned?
I hope think-tank ya CHADEMA wana massive plan B kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Kupumbazwa na kushangilia hizi nyomi bila plan na kutegemea kupiga kura tu na kusubiri matokeo nyumbani ni moja ya case ya βkeeping doing the same thing and expecting different (better) outcomeβ
Sent using Jamii Forums mobile app