Sitaki kuamini Lameck Lawi ndio anaenda kuchukua nafasi ya Henock Inonga

Kama usajili wa Lameck Lawi ni kwenda kuziba nafasi ya Henock Inonga basi Simba wame-prove failure, otherwise Lawi ani-prove wrong.
Umesema 'kama'. Ungesema pia 'kama sio'
Tusipende kujifanya manabii wa siku za mwisho
 
Mtu hata hajacheza unamtia nuksi tayar bro? Mpira n uwanjan akifit anaanza na malone mbna wazawa wanacheza pia vzur huoni beki za pale utopoloni znajitahd
 
Mwisho nimesema "otherwise ani-prove wrong". Mlienda shule kufanya nini nyie?? Au ndio mnasoma tu heading mnakuja kukoment
 
Huwa mnapenda attention zisizo na maana🚮, kwani Lameck Lawi siyo mchezaji?
 
Mwisho nimesema "otherwise ani-prove wrong". Mlienda shule kufanya nini nyie?? Au ndio mnasoma tu heading mnakuja kukoment
kwann unamtilia wasiwasi wakati takwimu zake za msimu huu ni bora kuliko za huyo inonga nd mana kasajiliwa unataka akuprove wrong vip tena?
 
Wabongo tunapenda sana wageni yan tuna mentality hiyo. Sasa inonga ana mzidi nini lawi tofauti na mshahara. Inonga hakuwa na maajabu yoyote.
 
Kwani Inonga ana kitu gani special au zile mbwembwe za kucheza na majukwaa?
 
Wabongo tunapenda sana wageni yan tuna mentality hiyo. Sasa inonga ana mzidi nini lawi tofauti na mshahara.
 
kwann unamtilia wasiwasi wakati takwimu zake za msimu huu ni bora kuliko za huyo inonga nd mana kasajiliwa unataka akuprove wrong vip tena?
Hata Fred kaja na takwimu. Performance uwanjani ndio itaamua na sio takwimu zake
 
Wabongo tunapenda sana wageni yan tuna mentality hiyo. Sasa inonga ana mzidi nini lawi tofauti na mshahara. Inonga hakuwa na maajabu yoyote.
😂😂😂😂 Leo hana maajab wakat alikuwa akiumia mlikuwa mnakosa amani.
 
Back
Top Bottom