Sitaki kuamini Lameck Lawi ndio anaenda kuchukua nafasi ya Henock Inonga

Sitaki kuamini Lameck Lawi ndio anaenda kuchukua nafasi ya Henock Inonga

Mkuu hii mentality acha

Sijui kwanini mnashoboka na wageni namna hiyo

Lawi is better than inonga basi tu
Waamini wachezaji wenu huoni yanga sisi beki zetu?
 
Unajua kila msimu kocha anae maliza msimu anatoa report ya nafasi zinazo hitaji mabadiliko?
Kila kocha ana-aina yake ya wachezaj anaowataka sababu hata mifumo uwanjani ya uchezaji inatofautiana kwa makocha

Simba wangetafuta kocha kwanza ndo wasajili
 
Mkuu hii mentality acha

Sijui kwanini mnashoboka na wageni namna hiyo

Lawi is better than inonga basi tu
Waamini wachezaji wenu huoni yanga sisi beki zetu?
Nikikwambia beki zote za Geita Gold zilikuwa wazawa utaniamin??
 
Wabongo tunapenda sana wageni yan tuna mentality hiyo. Sasa inonga ana mzidi nini lawi tofauti na mshahara.
Jaribu kua serious kidogo tuu yani lawi alingane kiwango na Inonga si masikhara hayo unaleta 🤔
 
Lawi anaenda kuchukua nafasi ya Kennedy nafasi ya Inonga analetwa beki wa nje ya nchi tulia mzee
 
Kila kocha ana-aina yake ya wachezaj anaowataka sababu hata mifumo uwanjani ya uchezaji inatofautiana kwa makocha

Simba wangetafuta kocha kwanza ndo wasajili
Simba walisha sema wazi, mfano enzi za marehemu Hans Poppe alishasema wachezaji wana sajaliwa na viongozi kwa kusaidiana na kamati ya usajili. Kwani kocha ana fukuzwa miuda wowote. Kumbuka ishu jya zoran Maki ambae alikuja na beki Ouattara . Akaondoka baada ya mechi tatu, je Ouattara alitumika tena zaidi ya kuuzwa.
 
Mkuu kwa kweli una safari ndefu sana maishani mwako kama ndio hivi
Friendly reminder once you judge others without merit probably mom nakaribia kufika na wewe upo nusu ya hiyo safari. Bakia kwenye point ☝️
 
Back
Top Bottom