Sitaki kumsaliti mke wangu ila ananilazimisha

Statement niliyo sema vinanizidi uwezo.??

Punguza maneno mengi mdogo wangu, wa kiume hawako hivyo.
I told you the hardest truth man, just take it or leave it but ukweli unao, sasa wewe endelea kulemba upigwe stroke wanaume tuendelee kukutombea mkeo, hio isikuumize nimekupa ukweli mchungu, and don't call me that thing you call me young young I ain't young ma-facka
 
kashaanza kupoteza hisia na wew bwana,,, wanawake huwa hatuchoki kabisa naniliu yetu ipo standby mda wowote esp kwa mtu tunae mpenda🤗🤗🤗

Binti wa zamani sijakuona siku nyingi😂😂😂😂
Alooh hizi hisia zenu nina wasiwasi nazo hisia gani zinapenda mlungula tu na si kitu kingine😅
 
Naposema nimemfatilia elewa nimemfatilia na hana hizo mambo unazowaza ww.
Anachoka kwakweli km ulimaji wa masaa 2 anachoka kweli huenda pia haenjoy kaeni mzungumze mfanyaje awe sawa
Mnaweza badilisha ratiba au mkaamua njia bora kuliko kutaka kuona wew una furaha zaidi ukikaa kifuani kwa mwenzio
 
Church girl, Uh?

Kama utawala wa mtaani ulivyo na matukio, hata Church kuna matukio yake vile vile... Hii haikufanyi ukamuamini.

Pia, mzunguko mmoja haimfanyi awe hachepuki.

Sijasema anachepuka. Ila anaweza asiwe muaminifu. Na anakagua simu yako ili apate sababu, maana, mwizi uhisi anaibiwa siku zote.

Mimi sijaoa. Siwezi hata kukushauri
 
I told you the hardest truth man, just take it or leave it but ukweli unao, sasa wewe endelea kulemba upigwe stroke wanaume tuendelee kukutombea mkeo, hio isikuumize nimekupa ukweli mchungu, and don't call me that thing you call me young young I ain't young ma-facka
Huo utumbo ndo unaita hard truth?

Lugha yako tu ni classic sign ya mtu mwenye low cognitive bandwidth, argument zako ni za kitoto mno.

Reasoning ya level yako, automatically wewe ni mdogo wangu tu whether you like it or not.
 
Nishatilia Shaka pia ushauri wake.

Akae na akili zake tu
 
Church girl, Uh?

Kama utawala wa mtaani ulivyo na matukio, hata Church kuna matukio yake vile vile... Hii haikufanyi ukamuamini.

Pia, mzunguko mmoja haimfanyi awe hachepuki.

Sijasema anachepuka. Ila anaweza asiwe muaminifu. Na anakagua simu yako ili apate sababu, maana, mwizi uhisi anaibiwa siku zote.

Mimi sijaoa. Siwezi hata kukushauri
Sawa
 
Huo utumbo ndo unaita hard truth?

Lugha yako tu ni classic sign ya mtu mwenye low cognitive bandwidth, argument zako ni za kitoto mno.

Reasoning ya level yako, automatically wewe ni mdogo wangu tu whether you like it or not.
Mavi yako unakunya, wakubwa hawaongei ujinga humu tena ungekua mkubwa by this time ungekua usha-mute na hauni-quote tena the more you quote me and trying to prove that you're bigger than me inadhihirisha jinsi gani una akili ndogo kupita unavyojifikiria
 
Nishatilia Shaka pia ushauri wake.

Akae na akili zake tu
Huku siku hizi sijui kuna vamiwa na watu wa aina gani aisee?

Mtu anaandika tu utumbo halafu anaita hard truth, kiingereza chenyewe tia maji, jamiiforums inapoteza mvuto kuwa na member kichaa kama huyo.
 
Jf ina walevi wa kutosha siku hizi
 
Huku siku hizi sijui kuna vamiwa na watu wa aina gani aisee?

Mtu anaandika tu utumbo halafu anaita hard truth, kiingereza chenyewe tia maji, jamiiforums inapoteza mvuto kuwa na member kichaa kama huyo.
Wewe una kingereza gani cha ku-copy AI nacho kingereza acha kujifanya ujuaji mwingi na hakuna unachojua, ukweli umeupata ushaujua km unakojoa kimoja unalala jiandae usije ukamshikia panga tu
 
Back
Top Bottom