Sitaki kumuona Whozu, sipendi akae kwa Wema, aondoke: Mama Wema Sepetu

Sitaki kumuona Whozu, sipendi akae kwa Wema, aondoke: Mama Wema Sepetu

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Ilikua ni siku tulivu, ambapo watu walikua wakisherekea, happy birthday ya wema sepetu,

ULIPO fika muda wa wasaa wa mzazi, mama wema alieshika, kipaza sauti, nakubadili furaha ya wema kuwa majonzi, baada ya kudai wema amekua anatakiwa aolewe, lakini bado kaendekeza usela, mama huyo aliendelea kudai, hamtaki whozu na hataki amuone hapo Kwa mwanaye, AONDOKE,

Hilo tukio lilimuumiza wema mpaka kudai hatofanya tena happy birthday nyingine kwa kualika watu, kwani mama yake aliongea maneno makali.

Nilicho jifunza kitu kingine, demu akikupenda kakupenda tu hata mzazi asemeje wema hakumuacha whozu, nimemkumbuka shafii mchekeshaji eti demu wake alilazimishwa kuolewa na wazazi wake, mmh mbona whozu alitukanwa hadharani, na kuambiwa atoke hapo Kwa wema tena mama wema, mwenyewe lakin wema alisimama na mwana.

Waheshimiwa wahuni mnao wadharau, ndo wanafanya msiyo yaweza, mtulie sasa.

Screenshot_20260613-215957.jpg
 
Pale mama anataka kuishi ndoto zake kupitia mwanae

GENZ watabaki kuwa sahihi sio wahenga tena "Hata wapumbavu huzeeka"
 
Back
Top Bottom