"Nimemfukuzia muda mrefu, amenizungusha sana kwa kutoa visingizio vingi, mfano mimi bado mdogo, siko tayari kwa ndoa, ngoja nitafakari n.k. Hivi karibuni kafunguka na kusema hayuko tayari kuolewa labda tuzae tu.
Kungwi Sexless nimekuja kwako naomba unisaidie kuchakata kauli hii toka kwa msichana mwenye miaka 25 ambaye hajawahi kuolewa wala kuzaa (lkn ni mtoto wa single mama) Ina maana gani?""
Alimaliza kueleza mkaka mmoja ambaye ni mteja wangu.
Sasa wanaJF naombeni mnisaidie mawazo ya kumpatia huyu mteja wangu. Huyu mchumba wake analenga nini? Kwanini? Na kuna nini?
Ni mimi Sexless