Sitaki kuona siku zangu(period) mwezi ujao

Sitaki kuona siku zangu(period) mwezi ujao

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,061
Habar zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp?
Karibuni .
 
Mh! Kwanini utumie dawa ili ufanye kitu ambacho kinaweza kikakuletea ugonjwa? Mungu kawaumba wanawake hivyo juhudi za kuzuia hali hiyo kwa kutumia dawa inaweza kabisa kuwa na athari katika mwili wako au njia ya uzazi. Leo utataka kuzuia kwa mwezi kesho utataka kuzuia kwa miezi sita au mwaka.

Dawa iko siijui jina lakini ilipigwa vita sana na wanawake na wanaume wengi tu ilipotambulishwa duniani miaka michache iliyopita, wapo pia walioifagilia lakini hawakuwa wengi kama walioiponda.

Habar zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp?
Karibuni .
 
Nenda kaonane na daktari. Kuna siku nilikuwa na flow kubwa mno ya ajabu na safari ndefu kama ya masaa 18 hivi hadi kufika niendapo. Daktari akanipa dawa za kunywa kwa muda wote niliokuwa safarini na nilipoacha tu ikaendela kwa flow ya kawaida.

Dawa kama hizo sio za kununua over the counter. Nenda kwa gynae atakusaidia (kama una sababu nzuri ya kufanya hivyo lakini)
 
Sioni sababu yaku zuia mwezi ujao. Au unataka danganya una ujauzito..? Ila hainiusu.
fanya utafute tabs kama tranexamic acid 500mg tds 3/7 au etamyslate 1x1 hizi hupunguza kabsa bleeding ila jinsi zitakavyo mezwa kwa wingi huleta mazara kwnye ukaushaj wa damu.
Ikishindika nenda RCH au duka lolote la dawa uchome sindano ya uzazi wa mpango DEPO hii huzuia bleed mara nying kwa miez 2 ad mitatu.

NOTE: hakna njia ya asili yaku zuia period labda za uzazi wa mpango au kutumia izo tabs pia zipo sindano zaku kata lakin ni baada ya kuwa ume anza huo mzunguko.
 
Habar zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp?
Karibuni .
Kwa nini hutaki sasa kuziona
 
Kuna vile vya maumivu ya mifupa miguu,jina nimesahau kidogo,siyo diclofenac,machagudoa huvitumia siku hazionekani kabisa
 
Habar zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp?
Karibuni .
meza after moning pills
 
Back
Top Bottom