Sitaki kupata watoto

Mh! yaani ujumbe wako unaonesha unaishi mazingira magumu sana na yenye watu wenye hali mbaya! hama huko
 
Huu ni Uchoyo, Ubinafsi, Uroho, Roho mbaya na mambo mengine kama hayo...😎
 
Wazazi wako wangewaza hayo ungekuwepo leo? Kizazi cha matope hiki aisee. Yan mtu anakataa nature yake kindezi tu. Sema ww ni muoga wa majukumu period
 
Wazazi wetu hawakua na hela. Sisi tumesoma tunawatunza sasa hiv. Jr wangewaza kuwa hawana ktu wawithdraw wangeishije leo
 
Who told u that!
 
Jitahidi uwe nako hata kamoja ka kukuliwaza ukiwa na stress
 
Nilikiwa na mawazo yanayofanana na yako ila toka nimepata watoto najiona tofauti,nimeongeza binadamu ambao nina hakika nao wananipenda kwa dhati na wapo royal kwangu!!kuwa na watoto ni baraka wanatupa sababu ya kuishi!!
 
Hii dunia haina shida ya rasilimali wala population, shida ni allocation. Kama 1% percent ndo wanaohodhi utajiri wote, tatizo limesababishwa na nani kama sio hao 1%!

Watu maskini wanafanya kazi ngumu masaa mengi muda wa kupumzika kutafakari ku spend na familia zao hawana na ujira wenyewe ni vikaranga tu, kodi kibao ambazo matajiri hawalipi, jumlisha na serikali zilizoshikwa na hao hao matajiri jinsi zinavyofanya uonevu wa wazi kabisa kwa maskini. (Eeh Ufalme wa Mungu na uje 🀲🏾)

So basically watu wameamua waache kuzaa maana imekuwa anasa sasa, wameamua wanunue mbwa walee mbwa. Na mengine ya ajabu ajabu.....speaking of idle minds!

The world has just turned into materialistic consumerism! It's all about how much stuff you buy/accumulate!

Na nchi za hivyo fertility rate ziko so low kiasi kwamba in the next few years their countries are expected to experience a population collapse!

Ngoja wajukuu wa Mtume watinge huko wawafundishe kazi πŸ˜‚ ... speaking of natural selection!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…