Mojawapo ya pressing issue inayosumbua dunia sasa hivi karibia kila nchi ni poverty na income inequality au economic injustice ambapo watu wanakuwa brainwashed kwamba uchumi wa dunia na nchi unakuwa yet idadi ya masikini waliotopea na unyonyaji unaongezeka wakati huo huo 1% ya popolation ya dunia ambao ndio hao matajiri na familia zao wanaongezeka kiutajiri na kuhodhi utajiri na nyenzo kwa kasi kubwa zaidi kuliko wakati wowote ule katika historia ya ulimwengu , inasemekana kasi hii ni kubwa kuliko ya enzi za ujima ,ukabaila ,ukoloni nk , concentration of unprecedented wealth and power in hands of the few whole majority struggles in darkness of pocerty ,miseries and hopelessness na tatizo kubwa ni hilo overpopulation , watu wanazaa bila kuwa na means za kuensure better survival na future ya hao wanaowazaaa , huo ni uhayawani .
Semeni hata vitabu kidogo
Hiki kitabu kinaitwa " population bomb",Someni nondo humo ,mtoe tongotongo kwenye vichwa hivyo , dunia tunayoishi sasa si ile ya miaka ya nyuma mambo yamebadilika ,so watu mbadilishe hata mentality zenu ,acheni kufanya vitu kwa kukalili