Sitaki kupata watoto

Sitaki kupata watoto

Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Inaonekana hata baba yako au mama yako hawakuwa na furaha ulipozaliwa.
Sababu ya njaa kali na depression.
Au u matokeo ya mama aliyebakwa
 
Thatha mkuu huon kujaza watoto ambao huna uwezo wa kuwapa fyucha nao ni ubinafsi? Kile ndugu zake Ushimen wasukuma wanachofanya kuzaliana kama panya kule sio ubinafsi? Watoto wananuka umaskini unaona kabisa huyu mtoto fyucha hana unaona kabisa akifanikiwa ni muujiza wa bwana yesu
Acha ushoga bwege wewe
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Mental illness is real😂
 
Saiz usitafute watoto faida ya watoto utakuja kuiona badae
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Unashida sana
 
Back
Top Bottom