Sitaki kurudi nyuma...

Kuna kipindi nishapenda saana lakini mambo yakawa tofauti kabisaa,nilifanya wawili ili kupunguza risk ya kukataliwa ,kama akikataa mmoja basi mwingine akubali.....mwisho I lost all of them

Iko hivi, kama ilivyo maombi ya kazi, unaweza kuapply hata 200 ukaitwa 5 kwen interview. Maana yake ni kwamba usikate tamaa, halafu usiwe na dhana ya kumwingia moja kwa moja wengina wanahitaji ujenge kwanza urafiki kwa muda na umpe re assurance...sasa ukionekana hata wewe ni desparate wanakuwa na wasi wasi

Muhimu jiamini, kuwa na mitizamo yako lakini pia kubaliana na mitizamo yao hapa na pale. Jiweke nadhifu, nenda sehemu decent kama unataka akuchukulie seriosu, sio unampata siku ya kwanza Sun ciro hapana. ongelea mambo ya kawaida ya maisha, maendeleo yako then seek her opinion nk.....

Ukienda na ile ya mra ya kwanza "dada nimekupenda/nakutaka uwe mpenzi/mchumba" itakula kwako jumla.
 
7yrs dah! hii imekaa kiushirikina zaidi!! siyo siri kuna mkono wa mtu hapo!! mtafute manyaunyau kwa msaada zaidi ......... pengine naomba kujua kwani demu wako uliokuanae mwanzo mliachana kwa ugomvi??
 
Kaka, zile namba bila kujuana ni kazi bure. Wako busy wanapambana na madaktari, waalimu, wadai mafao ya kustaafu. Bila mchongo kaka ni bureEe!
Mbona namba zao ziko public King'asti? Hujasoma Mwanahalisi?
 
Last edited by a moderator:
7yrs dah! hii imekaa kiushirikina zaidi!! siyo siri kuna mkono wa mtu hapo!! mtafute manyaunyau kwa msaada zaidi ......... pengine naomba kujua kwani demu wako uliokuanae mwanzo mliachana kwa ugomvi??

Tuliachana kwa amani kabisaaa......
 

nilitumia approach hiyo ya taratiibu and it took two yrs, but at last, I was rejected......so in my mind nkaona inawezekana kuanzisha at the instant ili kupunguza kupoteza muda sehemu ambayo hakuna hisia....
 
nilitumia approach hiyo ya taratiibu and it took two yrs, but at last, I was rejected......so in my mind nkaona inawezekana kuanzisha at the instant ili kupunguza kupoteza muda sehemu ambayo hakuna hisia....

you had the wrong person from the start na ilibidi uwe quick kumsoma dalili zake. Unazijua dalili za mwanamke anayekutaka au anayefall? Hili nitawaaachia swwtlo gfsonwin, cacico, Kaunga, BADILI TABIA and my sister King'asti wakupe dalili hizi ili uone.
 
Last edited by a moderator:
nilitumia approach hiyo ya taratiibu and it took two yrs, but at last, I was rejected......so in my mind nkaona inawezekana kuanzisha at the instant ili kupunguza kupoteza muda sehemu ambayo hakuna hisia....
Two years? Hata wizara ya ardhi inayoongoza kwa petty corruption wangeshakupatia hati ya kiwanja, kha! Slow doesn't mean sluggish bana:loco:
 
Kaka mie sijawahi kutaka mtu, huwa na 'fall' with a bang baada ya ku-calculate gravity force nisije nikaangukia kichwa.
hizo zitamsaidia kweli? Huyo anamhitaji Nyamayao
 
kumbe na wewe huwa unaangukia kichwa?

Teh teh!

Kaka mie sijawahi kutaka mtu, huwa na 'fall' with a bang baada ya ku-calculate gravity force inside nikaangukia kichwa.
hizo zitamsaidia kweli? Huyo anamhitaji Nyamayao
 
Last edited by a moderator:
duh pole sana kaka yangu, angalia pia ulikotoka na huyo wa kwanza mliachana katika mazingira ya amani au? si ajabu mdada wa watu alilia sana juu ya kuachana kwenu na akalaani. ogopa sana kilio cha kwikwi cha mwanamke mbele za mungu, Kikubwa zaidi endelea kumwomba mungu akupe wako.
 
hutaki kurudi nyuma......songa mbele kaka!!!!

wee inavyo onesha kwanza haujiamini 2 kwanini unatongoza haupo wazi 3 inonyesha wewe ukikuta na huyo mtu walet story tofauti ili akuzo wee naimani wewe unahisi ndio umetongoza4 wewe unataka bibi wa bure Ndoano yako haina chambo hiyo kitu hakunaga sikuizi ..5 huenda PR.. yako haiko vyema ndio mana wenzio wengi huazima hata Nguo ili aonekane wa Vije yani PR.. ongeza bidii.... utfanikisha
 
mungu yuko pamoja na ww kukuepusha hvyo anamakusud just wait time will tell
 

It was a mutual agreement na hakuonyesha kuumia kwa sababu sote tulihisi mwisho umefika
 

Nashindwa kuelewa kitu kimoja hivi inachukua muda gani toka kufahamiana mpaka kuanzisha uhusiano ,i mean uhusiano sio kuchukuana tu kwa sababu huwa naanzisha approach soon baada ya kufahamiana ili nisije mpoteza kwa wengine lakini bado naambiwa kuwa ninawahi sana ,je ni muda gani sahihi wa kutupa ndoano?
 
No offence intended, muambie rafiki yako anaowadrop akupe hint mapema. The easiest means ni ku-act kama mfariji. Wenye kichwa ngumu kama king'asti wapotezee, u are not as strong.
All the best, kila mtu kaumbiwa wake.
U r so cunning mi lady...hahaha nice one. Hivi kumbe shughuli nzima ya kumpata mwezi si kazi ya kitoto eh? Manake hizi mbinu nyingine kama fitna za kwenye futiboli vile duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…