Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Kuna kipindi nishapenda saana lakini mambo yakawa tofauti kabisaa,nilifanya wawili ili kupunguza risk ya kukataliwa ,kama akikataa mmoja basi mwingine akubali.....mwisho I lost all of them
Iko hivi, kama ilivyo maombi ya kazi, unaweza kuapply hata 200 ukaitwa 5 kwen interview. Maana yake ni kwamba usikate tamaa, halafu usiwe na dhana ya kumwingia moja kwa moja wengina wanahitaji ujenge kwanza urafiki kwa muda na umpe re assurance...sasa ukionekana hata wewe ni desparate wanakuwa na wasi wasi
Muhimu jiamini, kuwa na mitizamo yako lakini pia kubaliana na mitizamo yao hapa na pale. Jiweke nadhifu, nenda sehemu decent kama unataka akuchukulie seriosu, sio unampata siku ya kwanza Sun ciro hapana. ongelea mambo ya kawaida ya maisha, maendeleo yako then seek her opinion nk.....
Ukienda na ile ya mra ya kwanza "dada nimekupenda/nakutaka uwe mpenzi/mchumba" itakula kwako jumla.