umesha-afikiana na mke wa kwanza?
Naam kwa taratibu zinazonipasa!umesha-afikiana na mke wa kwanza?
Ongeza, tabu iko wapi??
Una ng'ombe na mashamba lakini?
Sio uje uwalaze njaa.
ongeza lakini kwanza zungumza na wa kwanza mpaka akubali
isiwe ubabe na lazima
si haki ni ruhusa tu kwa sababu maalum..acheni uzushi ndo maana kutwa wake zenu wanapigwa danadana na wauza utumbo!!!
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
nipo tayari
si haki ni ruhusa tu kwa sababu maalum..acheni uzushi ndo maana kutwa wake zenu wanapigwa danadana na wauza utumbo!!!
Haina tabu kaka,ongeza tu! Kumbuka pia kuongeza na budget, na muda wa kutosha kusolve visa vya mkeo wa zamani na huyo mpya! Na ruhusu pia moyo wako uwe flexible kwenye kupenda na kupendwa na hao wake zako ...
Hongera pia kwa kupanga kujiongezea ugumu wa maisha.
Na log off fasta ....
Ndivyo mlivyoshauriana na shekhe wako?Nataka kuongeza Mke wa Pili!