Sitaki kutukanwa, nataka nishauriwe

Sitaki kutukanwa, nataka nishauriwe

Ni haki yangu niliopewa na Dini yangu!
 
Ongeza, tabu iko wapi??

Una ng'ombe na mashamba lakini?
Sio uje uwalaze njaa.
 
kamatia kaka...wspo wengi wanawake wanahitaji mume
 
Ongeza, tabu iko wapi??

Una ng'ombe na mashamba lakini?
Sio uje uwalaze njaa.

Nishaangalia hilo kwani kama utajiri ni uamuzi basi kina Lowassa wangekuwa nao wengi tu
 
si haki ni ruhusa tu kwa sababu maalum..acheni uzushi ndo maana kutwa wake zenu wanapigwa danadana na wauza utumbo!!!

Kwani unafikiri kule makaburini ni hawa wake zetu tu?
 
Nataka kuongeza Mke wa Pili!

Haina tabu kaka,ongeza tu! Kumbuka pia kuongeza na budget, na muda wa kutosha kusolve visa vya mkeo wa zamani na huyo mpya! Na ruhusu pia moyo wako uwe flexible kwenye kupenda na kupendwa na hao wake zako ...
Hongera pia kwa kupanga kujiongezea ugumu wa maisha.

Na log off fasta ....
 
sasa unatuomba sisi ndio tumekuwa mke wako? Haya kaka oa tu hata kumi ila next time umuulize huyo mkeo sio sisi, au unataka michango?
 
Haina tabu kaka,ongeza tu! Kumbuka pia kuongeza na budget, na muda wa kutosha kusolve visa vya mkeo wa zamani na huyo mpya! Na ruhusu pia moyo wako uwe flexible kwenye kupenda na kupendwa na hao wake zako ...
Hongera pia kwa kupanga kujiongezea ugumu wa maisha.

Na log off fasta ....

Mbona unanivunja moyo! Hivyo yale matarumbeta na tafrija huwa zina maana ya masikitiko? Nikifikiri sherehe ni furaha?
 
Kuoa si kuongea tu nataka mke wa pili.vipi unaweza kuwahudimia wote wawili kumbuka ukosofu wa huduma unajizolea dhambi
 
Back
Top Bottom