Hahahaha Zahera kawapondaMwanaume hatambulishi kwa mavazi, bali tabia na matendo ya kiume. Ndala fc mmenisoma.
not but pray.
Mnajitia uzuzu. Mlipokuwa mkiropoka sasa kipo wapi?Siredi gani
Wewe ndiyo kichaa..??VICHAA pekee NDO wanaamin cmba ataofunga as vita
tayari wewe ni mnafikiToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
mkuu ungesema vichaa pekee ndio wanaoamini simba itafungwa na as vita ungekuwa bonge la genious!VICHAA pekee NDO wanaamin cmba ataofunga as vita
Aliepost mada hii yupo humu
Haahahah, sawa mkuuToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Nazani mtabiri amelala mbeleSasa kama Simba anafungwa ,Uzi wa nini ...
Nitarudi usiku baada ya mechi kukupasha
π π π mngefungwa sidhani kama ungeandika Mtani.
We jamaa ni nabii wa uongo kabisa tena rafiki wa LucipherToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Matokeo matatu[emoji28][emoji28][emoji28] mngefungwa sidhani kama ungeandika Mtani.
Naomba Hajj Manara akujibu kwa msisitizo.Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Imekuwajeee?[emoji23][emoji23]VICHAA pekee NDO wanaamin cmba ataofunga as vita