Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Ya kweli hayo Mtani sema tu naona umekuja kunichemsha wakati najua matokeo unayo.

Tumepoteza Aiseee.
Pole. Mtani. Ndio hasara ya kuacha nyumba yako ikiungua na kujaribu kuzima nyumba ya mpita njia.
 
Simba ndio kipimo sahihi cha soka la Tanzania. Simba ikifanikiwa soka la Tanzania linafanikiwa. Subiri effect ya mechi ya mwisho tutakoyocheza na Uganda Jumapili tarehe 24.
 
Dah mtatuua na maneno yenu. Anyway yote maisha, nakupongezeni kwa hatua uliyofikia. God be with you.
Wacha unafiki wewe POPOMA. Hatutaki hongera za kinafiki. Bakia na roho yako ya kwanini kwani huizidishii au kuipunguzia Simba lolote.
Endelea na husda na chuki.
 
Wacha unafiki wewe POPOMA. Hatutaki hongera za kinafiki. Bakia na roho yako ya kwanini kwani huizidishii au kuipunguzia Simba lolote.
Endelea na husda na chuki.
Jamaa wanachuki sana. Hadi kocha wao anaikacha team yao kwa husda za kipuuzi eti ili mradi Simba ifungwe. Matokeo yake Simba imeshinda na Yanga imefungwa,katandikwa kotekote. Hawa watu wana chuki sana. Badala waiombee Simba itoboe pengine tungesaidia kuongeza team zetu na kukuza wigo kama Taifa,wao ndo kwanza wanataka sote tuwe wabovu,yaani ni bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wasema, sasa Mimi nitaongeza neno gani hapo. Maana yamtokayo MTU ndiyo aliyokuwanayo.
 
Back
Top Bottom