Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Nakuona unaibuka kutokana na matukio. Lol.simple and clear WE ARE SIMBA SC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Nakuona unaibuka kutokana na matukio. Lol.simple and clear WE ARE SIMBA SC
Sasa kama Simba anafungwa ,Uzi wa nini ...
Nitarudi usiku baada ya mechi kukupasha
Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Mnge imeshatoka hiyo.Nilikuwa bize na mechi ya Simba na Vita.Hivi huko Iringa matokeo vipi??😅😅😅 mngefungwa sidhani kama ungeandika Mtani.
Ya kweli hayo Mtani sema tu naona umekuja kunichemsha wakati najua matokeo unayo.Mnge imeshatoka hiyo.Nilikuwa bize na mechi ya Simba na Vita.Hivi huko Iringa matokeo vipi??
Mapopoma mna porojo sana nyie. Ubovu wenu musijifananishe na wajuzi,waheed wakubwa nyieMleta mada watakuelewa tu baada ya dk 90 Siku ya J.mosi usiku. Sasa hivi bado wana kiburi, hila baada ya mechi akili yao itawarudia.
Hehehe msamehe mdogo wako... hajui anenacho
Pole. Mtani. Ndio hasara ya kuacha nyumba yako ikiungua na kujaribu kuzima nyumba ya mpita njia.Ya kweli hayo Mtani sema tu naona umekuja kunichemsha wakati najua matokeo unayo.
Tumepoteza Aiseee.
Dah mtatuua na maneno yenu. Anyway yote maisha, nakupongezeni kwa hatua uliyofikia. God be with you.Mapopoma mna porojo sana nyie. Ubovu wenu musijifananishe na wajuzi,waheed wakubwa nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha unafiki wewe POPOMA. Hatutaki hongera za kinafiki. Bakia na roho yako ya kwanini kwani huizidishii au kuipunguzia Simba lolote.Dah mtatuua na maneno yenu. Anyway yote maisha, nakupongezeni kwa hatua uliyofikia. God be with you.
Jamaa wanachuki sana. Hadi kocha wao anaikacha team yao kwa husda za kipuuzi eti ili mradi Simba ifungwe. Matokeo yake Simba imeshinda na Yanga imefungwa,katandikwa kotekote. Hawa watu wana chuki sana. Badala waiombee Simba itoboe pengine tungesaidia kuongeza team zetu na kukuza wigo kama Taifa,wao ndo kwanza wanataka sote tuwe wabovu,yaani ni bure kabisa.Wacha unafiki wewe POPOMA. Hatutaki hongera za kinafiki. Bakia na roho yako ya kwanini kwani huizidishii au kuipunguzia Simba lolote.
Endelea na husda na chuki.
na imetimia vichaa naanimi wamekujia mkuuVICHAA pekee NDO wanaamin cmba ataofunga as vita
Wewe na walio-like post yako mpimwe akiliToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Kweli tumefungwa, umetabiri vizuriToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog