Lizy, nimeogopeshwa na huruma na moyo wa kujitolea wa Nyani... halafu nahofia kama nitaweza kumudu utawala wa manyani wa kudandia miti wapendavyo... hakuna mipaka kule na ukimwi huu nitapona kweli?
Annina
Lizy, ndio maana nimesema kuna deadline ya tar 13! Tukirudi kwenye no 3 namaanisha nikiolewa sitapenda kuwa kwenye hilo kundi... hata Geoff nilikuwa nafanya mapitio ya proposal yake sio kwamba imepita - kikwazo kimojawapo ni hicho kwamba ni mtarajiwa.
Annina
Samahani kidogo..kuuliza sio ujinga siajabu sijaelewa upo kwenye point gani...Check hapo nilipo weka alama nyekundu...??Nadhanii mkuu Geoff karibu anataka kupata jiko then unasema kwamba unaweza kuwa mtarajiwa,una maanisha nini hapo?Sorry kwa hili swali!!!

Ngoshwe, u r always like that, thank you!
Annina
Kwa kusaidia ni kwamba, kama Geoff asingekuwa mtarajiwa basi ange***** Annina njoo hapa umalizie sentensi pleeeaseeee
Kwa kusaidia ni kwamba, kama Geoff asingekuwa mtarajiwa basi ange***** Annina njoo hapa umalizie sentensi pleeeaseeee
Papizo, nilimaanisha kikwazo Geoff ni mtarajiwa, tupo pamoja? Nilikuwa namjibu Lizy kama umesoma post zake. kwa taarifa tu Lizy ni campaign manager wa nyani kwa sasa... naona ruzuku imeshatoka kaanza kazi kwa kasi ya ajabu!
Asante sana,
Annina
.....Hiyo twakimu ya wanawake wasomi wasioolewa huwezi kuingia shost, kuna wasomi wanaume wanatafuta wasomi wenzao wanawake. So don't worry about that!!
Cha msingi usiwe na maringo na usomi wako.
Not alway like that bana, uliniona jana lakini??hukuweza kutofautisha ma appearance ya leo na siku ya mziko ya mh. Mc Lema? na pia ile ya Mhe. Ka......w....a....w...a?.
Cha msingi Annina, don't preach wht you can't practice shosti. Hata mungu ukimwomba usimwombe kusaidia "kuikwepa dhambi" ambayo ushaitenda na unaipenda!......akikusaidia kuepukana na kutoa "tigo" umwmbe uwe unatoa "voda" (tandao wa jamaa kwa sana).
ukitaka akuepushe na kuto mnyanyasa mumeo, umwombe pia akupe mume "kuburi asiependa kunyanyasika" au vinginevyo au anajishughulisha kidogo manake akiwa vile tena hata ndoa yeyewe hutaipenda .....ukimba usiwe mwanamke msomi mwenye mbwembwe za kutojali familia, omba akupe hekima ya mwanamke msomi ambaye anajali, kuheshimu na kutatua matatizo au shida za marafiki za mumeo pasipo kujali sura, dini, elimu, kabila, rangi wala asili yake. hapo pia utakuwa umemsaidia rafiki yangu Nyani!
Papizo, nilimaanisha kikwazo Geoff ni mtarajiwa, tupo pamoja? Nilikuwa namjibu Lizy kama umesoma post zake. kwa taarifa tu Lizy ni campaign manager wa nyani kwa sasa... naona ruzuku imeshatoka kaanza kazi kwa kasi ya ajabu!
Asante sana,
Annina
Nyani, nakusoma, naona umemteua Lizy kuwa campaign manager wako! sasa mbona huimbi zile nyimbo za campaign?
Annina
Nyani, kama umeanza kuwakana wanamtandao wako mapema namna hii tutafika kweli?
Annina
Hajanikana hata kidogo, kasisitiza "mimi sijamteua ,Lizy .yy kashtukia hisia zangu kwako mapema zaidi .. "
hapo kwenye Red, kweli kabisa, Ninamfahamu Nyani mtu poa sana, Nimekuambia utasikitika tu kwa nini hukumfahamu mapema zaidi, hata hivyo hujachelewa bado shosti, tena una bahati wewe lol!
Bado natafakari neno...
Annina