hatimae umeamka............😀
Geoff, bora umewambia walikuwa wananitisha eti unakusanya michango tu halaf utaishia na kuniacha kwenye takwimu!
Annina
Yeah, naona tu watu wanavyofurahia hiyo tarehe 13 wanadhani MILA haitadumishwa... hope Nyani bado kalala!
Kaizer, usiniambie na wewe ruzuku imekupitia, jamani!
Annina
hehehe Annina, mi sihongeki, am as independent as I can be,, amini amini nakuwambia thats just my observation!
wameenda wapi campaign managers wako?😎
Banyamulenge...happy nu year dwag!.....
hehehe Annina, mi sihongeki, am as independent as I can be,, amini amini nakuwambia thats just my observation!
wameenda wapi campaign managers wako?😎
Una heri, maana hizo pesa zinaweza kukufanyisha kazi za ajabu, kupiga debe si mchezo bwana. Nyani na timu yake sijawaona toka kumekucha kwa saa za magharibi, naona wapo kwenye kikao cha siri wanapanga jinsi ya kutempa na masanduku ya kura!
Annina
Iseje kuwa wako haiti tunasubiri saa zamangaribi kumbe wamefukiwa kwen kifusi!
sasa mi unaniweka wapi kwenye mchakato?
ooh honey how r you! miss u badly. lol! u volunteering in Haiti?
Mungu awalinde na hili janga. Kuna nafasi ya "Chief Advisor" kama una sifa unaweza kuichukua hii, maana sitaki niangukie kwenye mikataba mibovu... kwa jinsi watu walivyojipanga nahitaji mchambuzi mzuri na mzoefu awe mshauri wangu mkuu. Karibu
Asante sana,
Annina
eeh umehadimika sana Banyamulenge wangu jamani i miss you more!....
No i am not going to volunteer in Haiti come to think about it kuna mafuriko bongo pia kuna watu wanahitaji msada pia...call me whatever but habari ndiyo hivyo...why niache kwangu kunateteketea alafu niaidie wengine....
Kaizer, umemuona huyo? Pls anza kazi mara moja
Annina