Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?