Sitaki kuzeeka

Sitaki kuzeeka

Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?
Usihofu, ukifa tz unaenda zaliwa China [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?
Hahaha
 
Back
Top Bottom