Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ni kweli mkuu fedha ikikosekana lazima shavu lianguke kwa kasi zaidi.Dah hapo pamoja na yote hayo mkuu kama huna pesa pia ukiwa na stress aisee huwezi kufanikisha mpango wako yani utakuwa babu tu.
ha ha ha ha ni kweli mkuuNamba ya siri ya benki,ya simu utaficha fedha utaficha uzee aufichiki ata machache na pesa zote alijitaidi kuficha jk brothermen uzee umeisha mufunika tafuta cha kuficha sio uzee aufichiki.
Lengo lako hasa ni lipi hutaki kuzeekaNapenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?
Niishi miaka mingi na kuendelea kula ujanaLengo lako hasa ni lipi hutaki kuzeeka
Niishi miaka mingi na kuendelea kula ujana
HongeraNiishi miaka mingi na kuendelea kula ujana
Ukifika 35 jipige kitanzi mkuu, hiyo ndio suluhu ya kuukimbia uzee.Niishi miaka mingi na kuendelea kula ujana
Eat chiaseed you won't regret for yr healthy.Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?
ha ha ha unapenda kuzeeka mkuuHongera
ha ha ha ha sitaki kwenda mbinguni mapemaUkifika 35 jipige kitanzi mkuu, hiyo ndio suluhu ya kuukimbia uzee.
Nini kifanyike ili uzee ucheleweUzee hauna budi kuja kama utakuwa umejaliwa umri mrefu,.ni kama kifo tuu kama umezaliwa lazima ukufe,.
Zinapatikana wapi mkuuEat chiaseed you won't regret for yr healthy.
Unachekesha sanaNiishi miaka mingi na kuendelea kula ujana
Umeona?????ha ha ha ha ni kweli mkuu
Nadawa ya kienyeji unakuwa mdogo sana kama katoto kasecondary.Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?
ha ha ha ha ha kwa nini mkuuUnachekesha sana