Sitaki kuzeeka

hakuna anayependa uzee..cha muhimu ni maandalizi...ukifika time ni kutumbua tu..kungoja kifo...lol...usifanye mambo yanayokinzana sasa hivi ujanani..ili roho yako isisumbuke uzeeni..lol
 
hakuna anayependa uzee..cha muhimu ni maandalizi...ukifika time ni kutumbua tu..kungoja kifo...lol...usifanye mambo yanayokinzana sasa hivi ujanani..ili roho yako isisumbuke uzeeni..lol
Ni kweli mkuu,uzee tunautambua kwa umri au namna mwili ulivyochoka?
 
Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane bado kijana wa miaka 25?
Duh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…