Sitaki mfanyakazi wa ndani wa kike wala mdogo wake wa kike aje

Sitaki mfanyakazi wa ndani wa kike wala mdogo wake wa kike aje

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Lakini naona ananipigia kelele kila siku anataka mdogo wake wa kike aje, sasa mimi najijua ndio mana sitaki aje itakua lawama.

Ila kwa sababu anang'ang'ania ngoja nimwambie amlete tuu, kitakachotokea huko mbele ya safari nitamwambia tuu NILIKWAMBIA.

wanawake muwe mnaelewa mwanaume akisema kitu hataki msilazimishe.
 
Real man anayehitaji kuondoa vishawishi nje ili awe sawa,

bado hajajenga utulivu ndani kwa sababu nidhamu ya kweli haitegemei mazingira,
bali nguvu ya kujidhibiti.

Jaribu kudhibiti kichwa cha uume wako,kisikuongoze mkuu
 
Lakini naona ananipigia kelele kila siku anataka mdogo wake wa kike aje, sasa mimi najijua ndio mana sitaki aje itakua lawama.

Ila kwa sababu anang'ang'ania ngoja nimwambie amlete tuu, kitakachotokea huko mbele ya safari nitamwambia tuu NILIKWAMBIA.

wanawake muwe mnaelewa mwanaume akisema kitu hataki msilazimishe.
Inaonekana na huyo mdogo wake unamjua vizuri - ni mtu wa kukukubalia tu ujinga wowote utakaomwambia.

Sasa nikuambie, siku zako za kuumbuka zinakaribia. Aibu kwa ukoo wako na ukoo wa mkeo. Umemtongoza shemeji yako kamwambia dada yake. Huenda huo ndio mwisho wa ndoa yako
 
Back
Top Bottom