comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
😁😁Sasa Mkeo Unamficha Nini..??Mueleze Ukweli Ya Kwamba...!!Ukiniletea Binti Humu Ndani..... Basi....
Rahisi sanaMmmh ndoa ngumu
Inaonekana na huyo mdogo wake unamjua vizuri - ni mtu wa kukukubalia tu ujinga wowote utakaomwambia.Lakini naona ananipigia kelele kila siku anataka mdogo wake wa kike aje, sasa mimi najijua ndio mana sitaki aje itakua lawama.
Ila kwa sababu anang'ang'ania ngoja nimwambie amlete tuu, kitakachotokea huko mbele ya safari nitamwambia tuu NILIKWAMBIA.
wanawake muwe mnaelewa mwanaume akisema kitu hataki msilazimishe.
Hayo sasa ndio mambo mengine