Sitaki mwanangu ajiingize kwenye tasnia ya sanaa yoyote

Sitaki mwanangu ajiingize kwenye tasnia ya sanaa yoyote

sasa kwani huko kwingine hamna wanaume. inabidi usimpeleke chuo asije akadanganyika na malecturer.

. bora ufocus kwenye kumjenga msichana wako kuliko kufocus kumjengea mazingira.

watoto wanakuwa molested ma mapriest!! the people You Trust the most can be the devils themselves
sure
 
Unachoogopa ni mwanao kufanya ngono au kupata UKIMWI? Kama UKIMWI atumie condoms, kama ngono atafanya hata na houseboy.
Tunaongelea effects za tasnia ya sanaa, hayo ya sex acha hata wewe mke wako/mme wako it is very much possible and most likely it is so, ana rafiki wa kiume/kike nje yako! you can not deny that!
 
Back
Top Bottom