Sitaki nifike mbali leo nataka niongee na mzee nimwambie jambo

Fanya mpango uwaue tu wote ili urithi huo mjengo maana wanakusumbua sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Familia za Kishua kusema ukweli mnawaharibu sana Watoto.

Acha niishie hapo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ndo ukaamua uvae na shati la kitengeπŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kifala.... Utoto raha sana, umejua kutuondolea steresi
 
Nina mpango wa kuwashtaki mods wa hili jukwaa, kwa nn wanaruhusu threds kama hizi kuwepo hapa!
 
Hahahaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…