Sitaki tena kuoa mzungu

Sitaki tena kuoa mzungu

Hahahahaha. Hapa umesema kweli. Unaanza The jirani is you know.
 
mipango yangu ilikua kuoa mzungu.nimesitisha kwa sababu moja kubwa.raha ya ndoa ni umbea.mnaanza kumsema jirani wa kwanza mnaendelea wa pili,bosi.alafu mnafanya tendo kisha mnalala.nikioa mzungu haya hayawezekani.umbea na kizungu wapi na wapi?
Sipatii picha mwanamke mbea na mwanaume mbea na watotot watakaozaliwa. Lazima lianzishwe gazeti la udaku
 
Back
Top Bottom