zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Mipango yangu ilikua kuoa mzungu, nimesitisha kwa sababu moja kubwa, raha ya ndoa ni umbea, mnaanza kumsema jirani wa kwanza mnaendelea wa pili, bosi, alafu mnafanya tendo kisha mnalala, nikioa mzungu haya hayawezekani, umbea na kizungu wapi na wapi.