zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
WEWE NI MWANAUME WA DAR...BISHA.
wewe bdo ujaoa bisha?WEWE NI MWANAUME WA DAR...BISHA.
sipo dar mkuu.najua kwa nini umeulizaí ½í¸í ½í¸Uko wapi mkuu?
Embu piga umbea was kiingereza kidogoraha ya umbea lugha bwana..
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸raha ya umbea lugha bwana..
.raha ya ndoa ni umbea. mnaanza kumsema jirani wa kwanza mnaendelea wa pili, bosi.alafu mnafanya tendo kisha mnalala.nikioa mzungu haya hayawezekani.umbea na kizungu wapi na wapi?
haha the jiran jumped kifrog frog.akimaanisha kichura churaHahahahaha. Hapa umesema kweli. Unaanza The jirani is you know.
wewe ni dada wa mkoani umechoka kuliko umri wako bishaWEWE NI MWANAUME WA DAR...BISHA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fair enough. Sasa uwe unapita pita jukwaa la celebrity, utapata options nyingi za kutimiza ndoto yako.
Hahaha kwanza msambwanda kwa lugha ya malkia unasemaje?haha the jiran jumped kifrog frog.akimaanisha kichura chura
huakiki hautuhusu wakulima.vyeti vipo sandukuniUshafanyiwa uhakiki?
Sipatii picha mwanamke mbea na mwanaume mbea na watotot watakaozaliwa. Lazima lianzishwe gazeti la udakumipango yangu ilikua kuoa mzungu.nimesitisha kwa sababu moja kubwa.raha ya ndoa ni umbea.mnaanza kumsema jirani wa kwanza mnaendelea wa pili,bosi.alafu mnafanya tendo kisha mnalala.nikioa mzungu haya hayawezekani.umbea na kizungu wapi na wapi?
haha umbea wa kisport tu muda uende sio wa kivile unavyofikiriaSipatii picha mwanamke mbea na mwanaume mbea na watotot watakaozaliwa. Lazima lianzishwe gazeti la udaku