Kwi kwi kwiiiiii kwiiiiiii! Kwa hiyo baba watoto unaniruhusu nikazitumie zile hela kununulia khanga zenye msemo mppya? Sitaki kuuweka hapa huo msemo maana nataka nije kumrusha roho Mamndenyi! Lol!Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi karibuni na ndoa ilishasajiliwa kwa mwenyekigoda Baba V
Nimelazimika kuchukua uamuzi huu wa kikatili dhidi ya moyo wangu kwa ajili ya kulinda undugu baina yangu na swahiba wangu Mr Rocky, ndugu yangu wa damu kabisa Slave pamoja na mzee mkuda bin mnoko Bujibuji.
Mwisho kabisa napenda kumhakikishia mama watoto wangu laazizi mwaJ kuwa awe na amani ya bwana huko aliko, atambue kuwa ndoa yetu itaendelea kudumu milele baina yangu mimi na yeye, yeye na mimi, sisi wawili peke yetu.
Kwa ajili yako natafuta ngariba, tena nataka ngariba wangu awe Mwita Maranya, aukate mkono wa sweta kwa panga butu, hii yote ni kwa ajili yako Mamndenyi wanguule mkono wa sweta tu ndo ninaouogopa sana
Kwi kwi kwiiiiii kwiiiiiii! Kwa hiyo baba watoto unaniruhusu nikazitumie zile hela kununulia khanga zenye msemo mppya? Sitaki kuuweka hapa huo msemo maana nataka nije kumrusha roho Mamndenyi! Lol!
Bujibuji kama umefikia hatua ya kujilipua kiasi hiki basi hapa umedhihirisha ni kwa kiasi gani unampenda Mamndenyi na uko tayari kufanya chochote anachotaka alimuradi tu akukubali.Kwa ajili yako natafuta ngariba, tena nataka ngariba wangu awe Mwita Maranya, aukate mkono wa sweta kwa panga butu, hii yote ni kwa ajili yako Mamndenyi wangu
Nipo hapa msiri wangu!
mwanangu kiwatengu habari za huko milimani lakini, Mwita Maranya alinipa talaka kwa shingo upande
ndo anaangukia hapa, lakini bado bado sijamwelewa vizuri
labda akachukue sale aje aangukie nalo.
Kwa ajili yako natafuta ngariba, tena nataka ngariba wangu awe Mwita Maranya, aukate mkono wa sweta kwa panga butu, hii yote ni kwa ajili yako Mamndenyi wangu
Kwi kwi kwiiiiii kwiiiiiii! Kwa hiyo baba watoto unaniruhusu nikazitumie zile hela kununulia khanga zenye msemo mppya? Sitaki kuuweka hapa huo msemo maana nataka nije kumrusha roho Mamndenyi! Lol!
Na aseme mapema nije na hilo sale..
Mwanangu wana siasa hawajui kupenda wako juu juu tu naona hata dalili hakuna.
Nimekubamba sijakubambaa? Labda usirudi tena nyumbani! Kwa usalama wako baki huko huko!:A S-fire1:Nakung'ata sikio na iwe siri yako. Mamndenyi tumesharudiana kimya kimya.
Nani anaweza kukubali kumuachia mwanamke mtamu kiasi kile? subutu...
Nimekubamba sijakubambaa? Labda usirudi tena nyumbani! Kwa usalama wako baki huko huko!:A S-fire1:
:A S-fire1::A S-fire1:
:A S-fire1::A S-fire1:
Nimekubamba sijakubambaa? Labda usirudi tena nyumbani! Kwa usalama wako baki huko huko!:A S-fire1:
:A S-fire1::A S-fire1:
:A S-fire1::A S-fire1: