Wakuu huyu jamaa kuna 'issue' hapa anajaribu kuileta kwetu. Binafsi nilishaisikia jambo kama hili kwa mwanaume wmingine na mwanzoni sikumuelewa ila baada ya kuongea naye sana nilikuja kujua nini hasa kilichojiri hata akapoteza stimu kwa gf wake. Baada ya kuongea naye sana niligundua kuwa kulikuwa na mambo makuu mawili.
.........mosi ni kwamba pamoja na msichana kuwa na umbo zuri na mwonekano wa nje mzuri, bado alikuwa natatizo moja kubwa ambalo jamaa alipokutana nalo alipoteza kabisa hamu ya kuendelea kuwa naye, .......nalo ni kwamba 'maumbile' ya msichana hayakuwa mazuri. Ni kama vile 'mashine' ya yule mdada ilikuwa 'overused' kiasi kwamba ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba kuna wakati jamaa haukuweza kujua kama 'viungo' vyao vya uzazi vilikuwa vimekutanishwa ktk tendo la ngono.
.........pili maungo ya uzazi ya msichana yalikuwa yana hali ya majimaji kupita kiasi. Jamaa alidai mara baada ya kufikia kilele cha kamchezo, kitanda kilikuwa kama vile kimelowa mkojo. Ilibidi afanye usafi baada ya 'mgeni' kuondoka.
.........tatu, msichana alikuwa na harufu kali ingawa kwa hili nilimwambia kuwa linaweza kuondoka kwa kutumia dawa.
Sasa ukiangalia maeneo haya matatu, hasa hayo mawili ya mwanzo ni wazi kuwa jamaa hakutegemea kama angekuta hiyo hali hivyo akawa 'steamed off'. Kwa sisi wanaume huwa tuna mategemeo yetu kwa ladies, na mara tunapoyakuta huwa tunawaganda sana wadada kwa kuwa ndio maeneo ambayo kwayo tunapata faraja ktk mahusiano.
USHAURI
Jamani kina dada, jitahidini sana kujitunza hasa hayo 'maeneo' yenu ni muhimu sana. Unaweza ukawa mzuri sana kwa nje lakini eleweni kuwa 'quality' yenu kubwa ni 'the weapon' you have regardless of your phenotype. Kuna mada jana iliwekwa juu ya kumfanya mwanaume avutiwe nawe muda wote. Wengi mlichangia na kukubaliana na ile thread. lakini nawaambia hata umvutie vipi men wako, kama 'mashine' yako ni hovyohovyo ujue utaachwa tu, if not married, au utakuwa na mwenzio, kama mashine yako ni oversize au exceedingly watery.
.................nilikuwa napita tu wakuu!