Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Huwezi kuacha kupenda mzee..! ye mapenzi ya kichina kayajulia wapi? ah hiyo feki
Mapenzi fake si ndo ya KICHINA hayo mkuu au wewe unafikiria nini? Wewe ukiambiwa na mkeo una mapenzi fake utafanyaje sasa?
Mapenzi fake si ndo ya KICHINA hayo mkuu au wewe unafikiria nini? Wewe ukiambiwa na mkeo una mapenzi fake utafanyaje sasa?
Utakuwa fake..... UNA-CHEAT KWENYE NDOA...
Umemfanya nini mpaka akwambie hivyo?
hiyo fake niliyomalizia nilimaanisha mpango mzima maneno uliyoambiwa...au anamaanisha huna mapenzi ya dhati
Sijamfanya lolote, mie sijui tuu imekuwaje halafu alisema hilo neno katimua zake....nasubiri akirudi ndo labda ataniambia maana ya kusema hivyo ni nini...
hahahahahah lol kwa kweli unanichekeshaga sana na thread zako...
wewe mmmhhh ngoja niwaze ntakujibu...
Duh!Kweli ndoa ndoana!Yani mtu anakupa madongo hayo alafu anachapa mwendo?Pole!
Mama leo cha moto nimekiona, ni ule wakati wa asubuhi eti na mimi nataka kumwaga BUSU la asubuhi njema, kikatolewa kicheko cha UTAJIJU, halafi maneno yakaja, eti linajifanya linajua kupenda, MAPENZI YAKO YA KICHINA BABUUUU.......
hahahahahaah lol kabla sijakupa ushauri
nataka kujua tu jana jioni uliangalia nini kwenye TV lol
hahahahahaah lol kabla sijakupa ushauri
nataka kujua tu jana jioni uliangalia nini kwenye TV lol
Ujue nilimpaga maua artificial siku ya mwaka mpya na xmass, akanusa harufu yake kumbe yamekaa kwa vumbi akakohoa ile mbaya, akasema ya KICHINA mie siyapendi?
Wimbo wa Bata ulipigwa kwa TV nikawa nauangalia kwa makini, au una maana gani tena wewe jamani?
mmmmmhhhh kwakweli unavituko sana tena sana lol..
mmhh nadhani anasema unamapenzi ya KICHINA ..
kwa sababu labda vitu unavyofanya kwake vinaoneka vya bandia....
hahahahhaahahah lol
unajua mie nashindwa hata kukusaidia kwa sababu ya vichekesho vyako lol