Hii inaitwa name calling, ni kinyume na sheria na kanuni za JF; akikusoma Paw hapa unaenda Lupango. Usijali, sijam-mention, nimebold tu jina lake. Nikikukosa wewe hapa jamvini nakosa appetaiti ya ugali. Na mimi nisipokula ugali napata minyoo. Na nikipata minyoo sili kitimoto, na nsipokula kitimoto napungukiwa na kinga mwilini kwakuwa kitimoto ni ARV.
Wapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati anayetokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Kwa muda mrefu mchumba amekuwa akiniomba tuonje 'tunda la kati' nikawa namtolea nje kwamba wakati wake bado. Jana usiku mchumba aliniita kwake, nilipofika aliomba kuonja tunda, nami nikaone nisimkatalie ili nami niionje hiyo raha nitakayokutana nayo hapo baadaye akishakuwa hubby wangu.
Cha kusikitisha na ambacho kimenifanya niamue kwamba sitaki tena ni kwamba jamaa linatwanga ovyo ovyo utadhani linafukuzwa. Kwa kweli sikuiona hiyo raha niliyoitegemea hata kidogo. Kibaya zaidi jamaa limening'ata "chakula ya mtoto" hadi kuniachia majeraha makubwa. Asubuhi hii nimeamkia kwenda hospital mwananyamala, daktari amekataa kunitibu anadai hadi niende na PF3. Nimeshindwa jinsi nitakavyoripoti polisi ili niipewe hiyo PF3. Jamani nipeni pole mwenzenu nateseka!
Pole
ila sidhani kwamba hiyo bad sex ya mara moja inatosha kumdisqualify mtu kabisa unless kuna matatizo mengine. Hivi how was you 1st day, were u the expert you are today? whatif huyo alokuanza angekutema kama unavyotaka kumtema huyu ungejisikiaje?
nakushauri, ongea naye kwamba love making has to be slowly na inakuwa nzuri zaidi kama unakuwa unaisikilizia na si kula kwa pupa. mfundishe taratibu, asipofundishika ndipo uchukue hayo maamuzi unayotaka kuchukua.
mwisho, sidhani kama hili lilifaa kuleta jamvini (kwa mtazamo wangu) unless unajisikia vyema kwa kumsagia huyo mwanaume aliyeshindwa kumeet your expectation; fikiria upande wa pili, mkaka aje humu na thread ya kumsagia mdada kuwa alikuwa na shimo kubwa au alikua anatoa harufu, nina imani nawe ungeshirikiana nami kumsema huyo mkaka asivyo na staha. So tuheshimiane na kusaidiana, kwani wote hatujazaliwa tunajua!
hahaha jf ni zaidi ya uijuavyo,mpaka anakung'ata boobs inaonekana uliknogewa na mikito thats why hata hukusense meno!!na huyo mwanaume i assume ni wa MARA,inakuaje mpaka akung'ate...?tatizo vijarida vya mapenzi vinawapeleka pabaya vijana wetuWapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati anayetokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Kwa muda mrefu mchumba amekuwa akiniomba tuonje 'tunda la kati' nikawa namtolea nje kwamba wakati wake bado. Jana usiku mchumba aliniita kwake, nilipofika aliomba kuonja tunda, nami nikaone nisimkatalie ili nami niionje hiyo raha nitakayokutana nayo hapo baadaye akishakuwa hubby wangu.
Cha kusikitisha na ambacho kimenifanya niamue kwamba sitaki tena ni kwamba jamaa linatwanga ovyo ovyo utadhani linafukuzwa. Kwa kweli sikuiona hiyo raha niliyoitegemea hata kidogo. Kibaya zaidi jamaa limening'ata "chakula ya mtoto" hadi kuniachia majeraha makubwa. Asubuhi hii nimeamkia kwenda hospital mwananyamala, daktari amekataa kunitibu anadai hadi niende na PF3. Nimeshindwa jinsi nitakavyoripoti polisi ili niipewe hiyo PF3. Jamani nipeni pole mwenzenu nateseka!
Maswali yako hayatanipunguzia maumivu ninayoyasikia kwa sasa.Ningenda kufahamu yafuatayo kutoka kwako ilinichangie sawa na ufahamu wako: kabila,dini, kiwango cha elimu yako,uliwahi soma shule au chuo na kulala bweni? unapendelea nini wakati wa uhuru binafsi {HOBIES} Nawasilisha.
lucymito,wewe huzini?ila jamani issue nyengine au labda mimi ni wa kizamani,kwangu mimi nisingeweza kuleta humu
hahahahahaaaaa.....rara chini nikurenge.....
thax dada ni upuuzi tu huu..kwanza amezini ,haoni hata aibu..eti kangatwa angemla kabisa hicho kipochi..kiishe tuone atakuwa anasimulia nini