bint acha zako, we jamaa anamaugwadu ya miaka, usikute ww ndio fungua dimba unafikiri atakuwa na pozi? Omba remarch kesho alafu umtulize kwanza asiwe na papara. Ndio utuhumu.
Mimi nakumbuka siku ya kwanza kula tunda ambalo nafikiri nililipigia picha kitambo sana wifi yako anadai nilip4m kwa kiwango ambacho mpaka leo anakiota na anajua sababu ni nini. sio kwamba sasa haridhiki, hapana ni kama vile single ya kwanza ikogonga namba moja bilboard kwa kipindi kirefu lakini zilizofuatia zisifikie ukali ule.