Sitaki unisalimie...

Sitaki unisalimie...

wakuu nywele alishanyoa na jamaa anafanya kazi yake, na sio kwamba haongei na mshua wake wanapiga story fresh lakini Dingi ndio hataki salamu

kwani lazima kusalimia? Kama mambo mengine wanaongea fresh hamna noma hapo. Kuna watu uzee wao huwa unakuja na matatizo ujue.
 
mhh! wazee wengine bwana, usikute usiku usiku huwa anampekuwa mtoto wake kisha kakuta afro sehemu nyengine ndo bado inamuudhi na kumwambia hawezi mana atamuuliza kaonaje hilo afro la sehemu nyeti
 
Kwanza salamu kitu gani. Kusalimiana kila mara ni dalili za ujinga na umasikini. Kusalimiana si maana yake kujuliana hali? Sa kama wanakutana na kula stories na kufurahi hapa na pale kuna zaidi ya hilo? Acheni mambo ya kiswahili ya kupotezeana time kwa masalamu marefu yasokuwa na tija.

aiseeee
 
Kwani lazima...... !!!!!!!!!!!! Si basi......... !!!!!!!!!!
 
au baba alihisi kijana wake anagongwa.
Uzazi kazi jamani hasa watoto wa kiume wajuaji kweli wakati ndo wako vulnerable.
 
au baba alihisi kijana wake anagongwa.
Uzazi kazi jamani hasa watoto wa kiume wajuaji kweli wakati ndo wako vulnerable.

Confirmed dogo alikua anakula mzigo ambao dingi wake alikua ana ugharamia ameupangishia mpaka mjengo kwa hiyo Dingi roho linamuuma ile mbaya, na hiyo tume prove jumapili ya wiki iliyopita..
nahisi ikawa ndio sababu ya mzee kutoitikia salamu na dogo ameanza kula huyo mwanamke tangu 2010...
 
njoa kijana dingi ni dingi tu. kama utaki basi usiende kwenu kaa kwako
 
Labda dingi alikuwa mwanachama wa Afro shorazi part, sa akiona Afro anakikumbuka chama chake.
 
Labda dingi alikuwa mwanachama wa Afro shorazi part, sa akiona Afro anakikumbuka chama chake.

soma post# 27 nadhani ndio ilisababisha dingi asipeane salamu na mwanae
 
soma post# 27 nadhani ndio ilisababisha dingi asipeane salamu na mwanae
Dogo hana adabu vipi akale sehemu anayo kula baba yake...Hata mimi kama ni mwanagu simjibu salamu yake.
 
Kinachofanya ashindwe kunyoa hiyo afro ni nini? Hebu mwambie aonyoe haraka aone kama baba hataitikia tena salamu yake
 
baba hana kosa na mtoto hana kosa ila mtoto inabidi amtii baba. Kwa kuangali risk zilizopo za baba kubwa sana labda kwanza kuna mtu alimstukia na mkewe kabla dogo hajazaliwa na yeye alikuwa na nywele ndefu hivyo baba anaweza akawa anakumbuka na kusema inawezekana mtoto si wake. Kwa mtoto anaona anapendeza tu nothing else. So Risk ya baba ni kubwa kuliko huyu wa kupendeza.
 
Back
Top Bottom