Weka videoSalaam, Shalom!!!
Leo ni jumapili njema sana, hatimaye tumeungana tena na mpendwa wetu ndugu Philip Mpango.
Ametupa ujumbe wa Leo Kutoka kitabu cha (Zaburi 118:17) usemao:
SITAKUFA,BALI NITAISHI, NIUSIMULIE WEMA WA BWANA.
Na kuusimulia wema wa Mungu ni katika Nchi Walio hai, maana imeandikwa pia, Kuzimu haitakusifu.
Amesema kuwa, KAZI iliyomleta duniani, hajaikamilisha Bado hivyo hawezi kufa kabla ya wakati.
Usisahau kuwakumbusha wote wenye kukuchulia kifo, Kwa kuquote kifungu hiki Cha BIBLIA, ukiwaambia kuwa SITAKUFA, BALI NITAISHI.
Mungu atubariki sote. Jumapili njema.
Amen
Maana ya mstari huo ni kuwa wamwaminio Mungu, hawafi kabla ya wakati wao. Lazima watimize kusudi lao duniani Kisha waendelee na maisha ya milele Mbinguni.Naomba kujua maana halisi ya huo mstari wa sitakufa bali nitaishi ikiwa kuanzai adam kiumbe wa kwanza kuumbwa hatunaye na kila Leo watu wanakufa na hakuna kiumbe kitachobakia
AFYA Si sababu,Dr. Phillip Isdor Mpango. Mpole. Humble. Kiongozi!
Tulikutana Dodoma Julai mwaka huu tukaongea kishikaji sana utafikiri napiga stori na classmate tu.
Mungu Akushike mkono na kukuvusha katika changamoto yako ya kiafya inayokukabili. Taifa letu bado linakuhitaji hata kama unaonekana kuwa tishio kwa baadhi ya watu kuelekea 2025/2030.
Kweli hutakufa bali utaishi ili uje uusimulie wema wa Bwana. Tunakuombea!🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Sababu ni nini?AFYA Si sababu,
Ikiwa muda wako haujafika, watakufa wazima, watakuacha.
Lowwassa ni funzo kwetu pia.
Uhai ni hazina iliyofichwa mikononi mwa Mungu,Sababu ni nini?
Wengi walifurahia, wengine wamejificha Kwa Aibu😀, hakuna aliyekuwa anatamani kusikia limempata lolote baya,
Tumsifu Yesu Kristu
Amen. AmenAmina,sitakufa bali nitaishi,hadi nitimize kusudi la Mungu duniani
Amemwambia Mh Rais Samia kuwa,nadhani unaniona, Niko mzima kabisa, hata sijapungua popote.Binafsi nikimsikia mkristo akitamka huo mstari,ninajua kwa hakika anamshuhudia Mungu kwa kupita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Kuna Zaburi nyingi sana za kushuhudia ukuu wa Mungu,ukiona kachagua inayogusia kuwa Mungu ndiye aliyebeba uhai na hivyo ukuu wake ataushudia,jua kuna la wanadamu limefeli. Alipomalizia kuwa hajakamilisha kusudi ndio kabisaa nimethibitisha kuna mkono ulitaka kumtoa kwenye kuthibitisha kusudi analoamini ni lake amepewa na Mungu. Ni tafsiri yangu.