Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nimemuona. Tena mzima tu wa afya. Yule mjinga Kigogo sijui atawaambia nini wafuasi wake manyumbu wale ๐๐ฟUhai ni hazina iliyofichwa mikononi mwa Mungu,
Tukimtegemea, hayupo wa kufupisha siku zetu. Majaribio yote yatashindwa.
Amen
Mungu ni mwema na Utukufu wote una Yeye ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ