Sitakufa, bali nitaishi

Uhai ni hazina iliyofichwa mikononi mwa Mungu,

Tukimtegemea, hayupo wa kufupisha siku zetu. Majaribio yote yatashindwa.

Amen
Nimemuona. Tena mzima tu wa afya. Yule mjinga Kigogo sijui atawaambia nini wafuasi wake manyumbu wale πŸ™πŸΏ

Mungu ni mwema na Utukufu wote una Yeye πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Your browser is not able to display this video.
 
Amemwambia Mh Rais Samia kuwa,nadhani unaniona, Niko mzima kabisa, hata sijapungua popote.

Alikuwa na furaha sana.

Mungu anatupenda Watanzania.

Tuzidi kuwaombea na kuwabariki viongozi wetu.
Tutaendelea kuwaombea sana na hasa viongozi wetu wanyenyekevu,wenye kuona ukuu wa Mungu na kuushuhudia na wanaojua wamebeba kusudi la Mungu na sio la wanadamu.

Mungu Ibariki Tanzania. Wabariki na Uwalinde Viongozi ambao mamlaka yao ina kibali chako na ni bendera ya uwepo wako nasi watanzania.
 
Waovu Huwa wanawachukia sana viongozi wazalendo wapenda HAKI.

Mungu awalinde kwakweli.
 
What a beautiful comment. Thenki yu Michelle πŸ™πŸΏ
 
diversion tactic ya CCM hiyo, hawakusema yuko wapi, watu muongee, na kwa vile ndo the humble guy, sympathy ikamaterialize ikawa fandom.

kifuatacho ni kumpachika kwenye urais na kumfanya kikalagosi.

amini kwamba.
 
Vyo vyote iwavyo. Mimi nimefurahi tu kwamba ni mzima basi. Mengine hayanihusu maana hata ukiyafikiria sana huna cha kufanya labda ujifunge mabomu ukajiripue uache ugali na misambwanda. Kha!
 
diversion tactic ya CCM hiyo, hawakusema yuko wapi, watu muongee, na kwa vile ndo the humble guy, sympathy ikamaterialize ikawa fandom.

kifuatacho ni kumpachika kwenye urais na kumfanya kikalagosi.

amini kwamba.
Habari ya Urais ni kitu kingine.

Sisi furaha yetu ni kumwona akiwa bukheri wa AFYA tele.

Mpango ni MMOJA wa wazalendo wa Nchi hii akiungana na Lissu, Mwabukusi, Slaa, Mbowe , Prof Shivji, Mzee Warioba,nk nk.

Nakumbuka, akiwa waziri wa Fedha, alimgomea kijana kuingiza makontena bila kulipia Kodi.

Abarikiwe.
 
Jambo jema hili.

Weka hata picha basi...
Mods wanaunga nyuzi za kumzungumzia, Uzi huu wameuedit wakaondoa Jina Mpango kwenye heading.

Comment no 21, Kuna video.
 
Ikiwa Mungu mwenyewe hadurahii afapo mwovu, mwanadamu ni nani aombee wengine kifo?

Tubadilike. Kisasi ni Cha Mungu mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…